Bitcoin ni pesa ya kidijital ilioanzishwa na kikund cha watu wasiojulikana japan wanaitwa SATOSHI NAKAMOTO.
Bitcoin inapanda value kila dakika usisahange sasa iv ni dola 11550 na baada ya masaa matano ni 12500
Kwa sasa 1 bitcoin ni sawa na dollar 11537 ni sawa na mili 26 iv za ki tz
Unawezaje kupata bitcoin
1. Kumine bitcoin. Ambyo hii ni kurusu computer kusolve mathematical problems kisha kupewa zawad ya bitcoin km malipo
2. Njia ya pili ni kununua kwa wa2 mfno kuna site inaitwa
localBitcoins unaweza nunua na kuuza bitcoins
Njia za uchimbaji bitcoin
Zamani wakati bitcoin ilikua haina thaman ilikuwa rahis sana kumine kwa kutumia computer yako huku ukutumia GPU ( Graphics processing unit ) lakin sasa ivi uwez mine bitcoins kwa computer maana uwez pata faida yoyote hivyo basi una itaji kujiunga na cloud mining ambapo wenywe wanataka we u investment hela kisha we unasubiri bitcoin zako baada ya mda fulan
Njia nyingine ni kununua device kwajil ya bitcoin mining ASIC ( Application Specific Integration Circuit ) ambzo hizi device ni kama Antminer s9 inauzwa mpka dola 3, 000 za kimarekani in mpk 14 TH/s harsh ambyo ni power full sana kwa mining
Kutokana na gharama za kumine bitcoin kuwa ghali bas unaweza kujiunga na makampuni km vile
1.
Sierra hash. Hii kampuni kujiunga ni bure unapewa 150 MH/s unaweza kuongeza MH/s kwa kuongeza kwa minimum amount 0.001 sawa na dola 11 na kuendelea kumine btc
2.
Genesis mining hii sio bure unanunua harshesh kwa kima cha chini dola 25
Bitcoin wallet ni seem ya kuhifadhi bicoin zako unaweza hifadhi ata kweny flash yko ila skuiz znaifadhiwa online wallet km blockchain.info ,