thedaydreamer
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 372
- 88
hii browser ni nzuri, ila kwa upande inasumbua kwenye ishu ya ads, yani kila nikiingia kwenye page ninayoitaka inanipeleka kwanza kwenye page ya ads powered by cinema, mpaka niclick tena leave this page, mda mwingine zinakuwa zinafunguka tabs nyingi nyingi tu za matangazo mpaka pc inastuck, kwa yeyote anaefahamu namna ya kudisable tafadhali.
nimecheck control panel programmes zote nazijua na sijaiona hiyo inayoweza kupelekea, nimedownload ads remover ila bado zinaendelea tu yani nyingi ni hizo zinazoandika powered by cinema, nyingine za alibaba zinafunguka kwenye tab hiyo hiyo au ata tab ingine inakuja tu yenyeweinstall Ad blocker
ila kua makini kwamba kuna malicious software nyingine huenda hata sio shida ya Browser,utakua uli install software ambayo ime install ki software kingine aside kinachokurushia hayo matangazo kwenye browser...
nenda control panel tafuta software yenye jina linalofanana na hayo matangazo e.g Cinema kama ulivosema matangazo yana jina la powered by cinema.
hope this helps
kuna feature kadhaa nimeipendea baidu, muonekano, ukiplay video yoyote online kunaoption ya kudownload faster tu just by a single click na pia ukitaka kushare link simple tu, anyway nitajaribu kubadilisha ata nitumie firefox ingawa opera nayo inazingua hivyo hivyo tu. Inakuaga kero kweli zinakuja tabs nying mara za dating site live chart mbs zinalika tu
Wanatake advantage ya mtu kutoelewa browser wakakupa browser yenye download manager halafu wanakubambikia matangazo.kuna feature kadhaa nimeipendea baidu, muonekano, ukiplay video yoyote online kunaoption ya kudownload faster tu just by a single click na pia ukitaka kushare link simple tu, anyway nitajaribu kubadilisha ata nitumie firefox ingawa opera nayo inazingua hivyo hivyo tu. Inakuaga kero kweli zinakuja tabs nying mara za dating site live chart mbs zinalika tu
Wanatake advantage ya mtu kutoelewa browser wakakupa browser yenye download manager halafu wanakubambikia matangazo.
1. Download firefox
2. Eka add blocker
3.download flash video downloader
Utapata browser yenye nguvu kushinda hio. Hizo downloads utazipata store ya mozilla ukigoogle hayo maneno utaona kwenye search result
https://www.admuncher.com/
http://www.maxthon.com/
Wanatake advantage ya mtu kutoelewa browser wakakupa browser yenye download manager halafu wanakubambikia matangazo.
1. Download firefox
2. Eka add blocker
3.download flash video downloader
Utapata browser yenye nguvu kushinda hio. Hizo downloads utazipata store ya mozilla ukigoogle hayo maneno utaona kwenye search result
Ndugu thedaydreamer na watumiaji wengine hakikisha ume_download na Kuistall ADMUNCHER kwenye PC yako ili kuepukana na matangazo matangazo kwenye page.
Chukua admuncher hapa
Code:https://www.admuncher.com/
Upande wa BRowser nzuli yenye (1) Built in Ad blocker & (2) Download manager nzuli - Napendekeza MAXTHON Browser
Ichukue hapaCode:http://www.maxthon.com/
ila nitaimiss baidu browser, ilikuwa inawhatsapp rahis tu kutumia kwenye pc na pia fb inaninotify kama ata nina message au notification yoyote
Hizo ni extension tu, kila kitu unachokiona humo unaweza kieka kwenye firefox au chrome.
Whatsapp si website tu unaingia? Na facebook notification zipo kibao google facebook notification utaona add ons zinazofanya kazi hizo
Hii browser ni nzuri, ila kwa upande inasumbua kwenye ishu ya ads, yani kila nikiingia kwenye page ninayoitaka inanipeleka kwanza kwenye page ya ads powered by cinema, mpaka niclick tena leave this page, mda mwingine zinakuwa zinafunguka tabs nyingi nyingi tu za matangazo mpaka pc inastuck, kwa yeyote anaefahamu namna ya kudisable tafadhali.
zitaweza kukaa ndani ya browser ninayoituma sasa kama ilivyokuwa baidu au zinakuwaseparate?