Inategemea na ufaulu wa mwaka huu na waombaji, japo najua ni ngumu kidogo kwa hizo alama maana muhimbili wanachukua alama za juu, jaribu UDOM, BUGANDO na vyuo vingnekwa hizo alama hapo juu mkuu naweza pata mhimbili
Muhimbili tunaomba mfano wa ufaulu tusijisumbue kuomba. Nna chem c, biology C, pysics D, engl B, phy D, math D, Nutrition C, Swahili C the rest CsInategemea na ufaulu wa mwaka huu na waombaji, japo najua ni ngumu kidogo kwa hizo alama maana muhimbili wanachukua alama za juu, jaribu UDOM, BUGANDO na vyuo vingne
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Chuo kina ada kubwa sana kile,halafu kuna majungu sanaOmba na Kairuki pia watakuchukua kwa hyo coz pale ipo ila km ukikosa mkopo ada yake n ndefu sn kuna ndugu yng yupo anasoma pale coz hyo hyo mwaka wa 3 sasa
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app