Msaada kuhusu bachelor of science in information technology system

prodigy15

Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
9
Reaction score
0
Wakubwa ningependa kuifaham kiundani hyo kozi hasa kuhusu ajira zake..
 
Wewe soma tu..kisha fanya certification mbali mbali.Utapiga tu pesa
 
Wakubwa ningependa kuifaham kiundani hyo kozi hasa kuhusu ajira zake..
Bila shaka umechaguliwa Mzumbe.

Soko lake la ajira lipo, unakua na uwanja mpana wa kuchagua pa ku specialize (Database, data warehousing, maintenance, programming, security, etc)....

Ila graduates wake wengi naona wakitoka hapo direct wanajiajiri, hawapendagi kuajiriwa. Hiyo ni advantage ingine... (Mimi mmojawapo)

Nenda shule kakaze.... Utasoma hesabu mpaka ufurahi kama huzipendi

Karibu kwenye ulimwengu wa digitali
 
Kazi zake ni kuburn Cd,kuweka nyimbo kwenye simu,U dj na utakuwa MC pia
 
Bila shaka umechaguliwa Mzumbe.

Soko lake la ajira lipo, unakua na uwanja mpana wa kuchagua pa ku specialize (Database, data warehousing, maintenance, programming, security, etc)....

Ila graduates wake wengi naona wakitoka hapo direct wanajiajiri, hawapendagi kuajiriwa. Hiyo ni advantage ingine... (Mimi mmojawapo)

Nenda shule kakaze.... Utasoma hesabu mpaka ufurahi kama huzipendi

Karibu kwenye ulimwengu wa digitali
Asante bro ..
 
Bonge la ushauri bro
 
Katika IT ipi ni part nzuri ambayo unaweza kumshauri mtu a speciallise.
 
bongo masomo ya science utapata stress tu, utaumiza kichwa bure halafu ukija kitaa utakuta wanaofanya dili za matikiti wanapesa kuliko wewe system engineer. Ukitaka kusoma hiyo hakikisha una malengo ya kufanya nchi nyingine.
 
Bila shaka umechaguliwa Mzumbe.

Soko lake la ajira lipo, unakua na uwanja mpana wa kuchagua pa ku specialize (Database, data warehousing, maintenance, programming, security, etc)....

Ila graduates wake wengi naona wakitoka hapo direct wanajiajiri, hawapendagi kuajiriwa. Hiyo ni advantage ingine... (Mimi mmojawapo)

Nenda shule kakaze.... Utasoma hesabu mpaka ufurahi kama huzipendi

Karibu kwenye ulimwengu wa digitali
Czani kama ni mzumbe
 
Kijana focus kujiajiri baada ya hapo, ushauri fuatilia sana mambo ya android development ,IOS development ukiwa bigwa uko,hutokufa njaa. Soko la mobile App nikubwa na unaeza fanya mwenyewe, sio lazima darasani hata private jifunze kwa bidii
 
Back
Top Bottom