Msaada: Kuhusu Bachelor of science in Chemistry

bsc in chemistry unafudishwa deep knowleje ya mater and its properties. hiyo nowleje utaitumia kusolve problems in society for instance unaweza solve tatizo la cooking fuel. hivyo ukadesign project ya ku extract hydrogen from atmosphere na kuimplement how to use as acooking fuel.project iki succeed you are a billionaire

bsc in physics fundermental laws of universe, then you can solve any social problem, for instance manipulation of earths magnetism to create a spacecraft that can travel faster than light,project ikiwin you are a mult trilionare
bsc in biolgy utapata deep knowlej ya living things,then unaweza solve tatizo la aging,project ikipita you are zilionare
bsc in mathematics utafundishwa deep knowlege in calculation,computing,mathematical modeling. then unaweza design robot la kufundisha hesabu nchi nzima at a real time,hivyo suala la ukosefu wa walimu nchi nzima utakuwa umelimaliza.project ikipita you are a king

muda mwingine tusiwaze sana ajira,coz ajira inacreate income tu sio fortune

Hahahaaaa..... You are very funny, hasa hapo kwenye aging, hahahaaaa.... That thing is potentially unsolvable mzee
 
as scientist we are nearing solving it,fuatilia research zilizolfanywa hivi karibuni, We are able to do dna sequecing, we are already doing surgery using a specialized robot. what next ,we are going to beat aging problems
 
It is not bad to try things, acha tuwaone.
 
bsc in chemistry unafudishwa deep knowleje ya mater and its properties. hiyo nowleje utaitumia kusolve problems in society for instance unaweza solve tatizo la cooking fuel. hivyo ukadesign project ya ku extract hydrogen from atmosphere na kuimplement how to use as acooking fuel.project iki succeed you are a billionaire

bsc in physics fundermental laws of universe, then you can solve any social problem, for instance manipulation of earths magnetism to create a spacecraft that can travel faster than light,project ikiwin you are a mult trilionare
bsc in biolgy utapata deep knowlej ya living things,then unaweza solve tatizo la aging,project ikipita you are zilionare
bsc in mathematics utafundishwa deep knowlege in calculation,computing,mathematical modeling. then unaweza design robot la kufundisha hesabu nchi nzima at a real time,hivyo suala la ukosefu wa walimu nchi nzima utakuwa umelimaliza.project ikipita you are a king

muda mwingine tusiwaze sana ajira,coz ajira inacreate income tu sio fortune
Nmekubali mkuu
 
jamaa yangu alimaliza hapo udom Bsc mathematics akaindika barua na akapangiwa shule saa hivi ni mwalimu na ukizingatia demand ya walimu wa hayo masomo hapo ni kubwa.

Huyo si Mwalimu by professional .
 
Back
Top Bottom