Msaada: Kuhusu Bachelor of science in Chemistry

Jorge WIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
3,567
Reaction score
5,360
Nauliza hev hii Bachelor of science in chem ukisoma then unakua unadeal na vitu gan na unafanya kazi zipi? Tafadhali kwa anayefahamu
 
mkemia,kazi viwandani,kama vile TBS,tfd,kwenye viwanda vya vinywaji mbali mbali,vipodozi,wakemia wa serikali
 
Hu hu hu hapo hamna uhusiano kila kichwa na bahat yake
 
Yaaan mdogo wang hii koz ni tamu tuu kwa jina,,,,, sikushaur kabisa kuisoma hii kitu,, utanielewa ukifika chuo
 
Koz yeyote ya ualimu lazima iwe na education,,,,, hii koz huwez kuwa mwalimu

Kusema ukweli kuna hizi koz wanazitoa udom hasaa
Bsc in chemistry
Bsc in physics
Bsc in biology
Bsc in mathematics
Izoo koz apoo juu ni nzur tuu kwa maneno na weng wanazikimbiliaga lakin mpaka now hawaelewi wanasomea nin,,
 
Bachelor of mathematics ni makini Sana shida ni waafrica hatujui umuhimu wake
 
Koz yeyote ya ualimu lazima iwe na education,,,,, hii koz huwez kuwa mwalimu

Kusema ukweli kuna hizi koz wanazitoa udom hasaa
Bsc in chemistry
Bsc in physics
Bsc in biology
Bsc in mathematics
Izoo koz apoo juu ni nzur tuu kwa maneno na weng wanazikimbiliaga lakin mpaka now hawaelewi wanasomea nin,,
bsc in chemistry unafudishwa deep knowleje ya mater and its properties. hiyo nowleje utaitumia kusolve problems in society for instance unaweza solve tatizo la cooking fuel. hivyo ukadesign project ya ku extract hydrogen from atmosphere na kuimplement how to use as acooking fuel.project iki succeed you are a billionaire

bsc in physics fundermental laws of universe, then you can solve any social problem, for instance manipulation of earths magnetism to create a spacecraft that can travel faster than light,project ikiwin you are a mult trilionare
bsc in biolgy utapata deep knowlej ya living things,then unaweza solve tatizo la aging,project ikipita you are zilionare
bsc in mathematics utafundishwa deep knowlege in calculation,computing,mathematical modeling. then unaweza design robot la kufundisha hesabu nchi nzima at a real time,hivyo suala la ukosefu wa walimu nchi nzima utakuwa umelimaliza.project ikipita you are a king

muda mwingine tusiwaze sana ajira,coz ajira inacreate income tu sio fortune
 
Uko pouw sana, Tisha nimekukubali ghafla,
 
Koz yeyote ya ualimu lazima iwe na education,,,,, hii koz huwez kuwa mwalimu

Kusema ukweli kuna hizi koz wanazitoa udom hasaa
Bsc in chemistry
Bsc in physics
Bsc in biology
Bsc in mathematics
Izoo koz apoo juu ni nzur tuu kwa maneno na weng wanazikimbiliaga lakin mpaka now hawaelewi wanasomea nin,,
Course zote za ualimu sio lazma zkiwe na education jamaa yangu alimaliza hapo udom Bsc mathematics akaindika barua na akapangiwa shule saa hivi ni mwalimu na ukizingatia demand ya walimu wa hayo masomo hapo ni kubwa.
 
Back
Top Bottom