Nina king'amuzi cha azam tv sasa nikawa sijalipia kifurushi chochote ili nicheki kama wataibakisha TBC, kuja kuchek TBC haipo ila kuna jirani anasema yeye asipolipa TBC huwa inabaki sasa cha kwangu kina tatizo gani?
Kingine ni kwamba leo nimelipa ili nicheki mechi ya el masry vs vital club kupitia ZBC2 ila baada ya mechi kuanza wamekata matangazo wakati ilikuwa inaonyesha.
Kwa kweli hapa nawaza kukitupa hiki king'amuzi maana sioni faida yake halafu eti customer care wanafanya kazi mwisho saa nne usiku yaani kampuni kubwa kama hiyo wanashindwa kufanya kazi 24hrs.