Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 274
- 112
Hello wana JF, habari za jion? Nilitaka kujua ni lini tunaweza kupata AVN number sababu nilikuwa na supplimentary matokeo yalitoka mwezi wa kumi tarehe 5 nikawa nimeclear na wakawa wameyatuma lakini nikijaribu kuomba AVN number inakataa.
Msaada tafadhali
Msaada tafadhali