Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Audi hataki fundi wa uswahilini aisee ni special garages kama Keko Garage
vx v8Hii gari naipenda ikishika njia na kama ni smart driver basi hakuna gari inaweza kukukaribia.
Kama ndio kwanza unaanza kumiliki gari its better you for Toyota kwanza Germany BMW Benz Audi vosvogen and some Swedish car zinahitaji extra car,hazihitaji ujanja ujanja kwenye service otherwise itakufia.better anza Toyota au any Japanese brand.kama umeshamiliki gari before then go Swedish car buy Volvo XC90 GARI NZURI SANA WITH THAT 269SPEED.Wakuu nataka kuagiza hiyo gari kutoka japan,naomba msaada wa kitaalam kuhusu hiyo gari ikiwemo na upatikanaji wake wa spea