Simple arithmetic.

Million3 na laki 9=3,900,000/= hii ni kwa miaka mitatu. Kama kozi yako ni 3yrs.

Gawanya kwa 3 upate kuwa kwa mwaka ni kiasi gani utapewa.

3,900,000/3=1,300,000/=

kwa mwaka mmoja unapewa milion 1 na laki tatu.

Gharama ya kozi ni millioni moja. 1,300,000-1,000,000=300,000.

Malizia hapo.