msaada kuhusu ashampoo burning studio 8

ntekigwa

Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
23
Reaction score
11
naomba suluhisho la tatizo kwenye laptop yangu ambapo kila nikiburn dvd au cd kwa ashampoo inaenda hadi mwisho na kuandika 'successful' lakin niki insert tena hiyo dvd inakuwa ni blank cd/dvd..tatzo limeanza hivi karibun, kabla ilikuwa inaburn bila tatizo..msaada kwa anaelewa nn chaweza kuwa chanzo cha tatzo..
 
  • Kabla ya huja click burn, hakikisha umebadili burning speed na kuweka speed ya kati na by default burning speed huwa imewekwa maxmum.
  • Pili nakushauri tafuta ashampoo v12 ambayo ndio latest ili ufurahie zaidi.
  • Au download NERO 2014 ambayo nimeiweka JF store. Fuata hii link
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/546133-%5Bnew%5D-nero-2014-platinum.html[/URL]
 

Tunaomba tuwekee na hiyo Nero ndugu, kama unayo. Tunatanguliza shukrani
 

Ahsante mkuu.
 
  • Bila shaka mkuu hapo kwenye red una maanisha Ashampoo v12
​
​

Tari nimeiweka JF Store: Click HAPA


Yes Sir, nilimaanisha Ashampoo, kwa kuwa Nero Umeshatuwekea. Wabheja sana (Asante ya Kisukuma)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…