Mtandao upo slow sanaJamani mtandao wa CAS-TCU umekubali? Kwani nikifikia sehemu ya Ku Confirm jina la Mwanafunzi inaniandikia Problem on loading please Try Again later
Inauma sana kwa kweliHivi hawajui si wote wenye access ya Internet, wengine mpaka waende mjini kupata huduma hiyo kwa gharama halafu wanarudi bila mafanikio,