Msaada kuhusu Amos5 @17E

Msaada kuhusu Amos5 @17E

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,775
Naomba kupata frequense ambazo naweza tumia kupata channels nyingi zaidi kupitia sat ya amos5 @17E, Kwasasa nilizo nazo ni 11139H30000
12334H27500
12418H30000 Ambapo napata channels kama 40 hiv zikiwamo local channels zote.
 
naomba kupata frequense ambazo naweza tumia kupata channels nyingi zaidi kupitia sat ya amos5 @17e, kwasasa nilizo nazo ni 11139h30000
12334h27500
12418h30000 ambapo napata channels kama 40 hiv zikiwamo local channels zote.

wewe blindscan zitaingia zenyewe zoote mkuu bila tatizo.kumbuka kubalance dish lako nyuzi 17 na 16 ili kupata pia chanel nyingi za west africa
 
wewe blindscan zitaingia zenyewe zoote mkuu bila tatizo.kumbuka kubalance dish lako nyuzi 17 na 16 ili kupata pia chanel nyingi za west africa
Natumia receiver ya Azam mkuu naona nikipata frequency inakuwa rahisi zaid
 
Back
Top Bottom