Msaada kuhusu ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Fmewa, Oct 26, 2011.

 1. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  habari zenu wakuu.
  Nimesoma diploma ya computer engineering lakini wakati nasoma chuoni nilipata kazi kwenye kampuni ambayo ni contactor wa telecom operator niliamua kufanya kazi kwani sikua na pesa za ada hivo nikaamua kutafuta kazi ili nipate hela ya kulipa ada na kujikimu. katika kampuni hiyo nilifanya kazi katika position ya NMC au inafahamika kama call centre au contol room operator. hadi namaliza diploma yangu nilikua katika position hiyo na kwa bahati mbaya nilifukuzwa kazi baada ya kumaliza diploma program. mungu mkubwa niilipata kazi ktk kampuni nyingine amabayo ni contactor wa telecom operator ambayo naendelea nayo hadi sasa on the same position.
  Ninachokiona hapa ni kuwa kazi ninayofanya na kitu nilichosoma ni tofauti japo kazi yenyewe ni nzuri ila nilnafikiria zaidi kufanya kile nilichokisoma kwa sababu ndio interest zangu zaidi. naombeni ushauri wenu ndugu zangu katika hili nifanyeje? kwani umefika wakati hadi nasahau vitu nilivyosoma darasani.. Naomba ushauri tafadhali
  Asanteni wana JF
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  We Uwechoka Ela, Maana Kama Kazi Unaimudu na rizki unapata unataka nini tena au ulisoma ili iweje?
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,399
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Ubaya wa uamuzi wako ni kuwa .......... UNA VYETI AMBAVYO HUNA UZOEFU WA KOZI ZILIZOPO KWENYE VYETI............. NA UZOEFU ULIONAO HUNA VYETI NAO.........
   
 4. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nashangaa,wenzio tunatafuta hata hiyo ambayo si ya field tuliyo soma lakini hatupati,we unataka nini tena? Mweeh! Watu bana!
   
 5. t

  thesolomon Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani lengo la kusoma ni kufanya kazi uliyosomea au hela? usifanye mchezo ndugu yangu maelfu ya watu wanataka angalau wapate japo kibarua cha kupata nauli wanashindwa angalia usichezee shillingikwenye shimo la choo,wee angalia viongozi wetu wengi walichosomea ni tofauti na wizara wanazofanya,mfano Dr mwingi na wizara ya ulinzi,Sarungi alivyokuwa wizara ya ulinzi na wengine wengi tuu ,cha muhimu mkono uende kinywani
   
 6. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu nimekupata sana kwa mchango wako. ama kweli "THIS IS A HOME OF GREAT THINKERS"
   
Loading...