Msaada kuhusu ajira portal tz

princeNathan

Senior Member
Apr 5, 2023
167
335
Kwanini account yangu kuna muda na log in inakubal ila niki log out kwa siku moja au mboli inakuwa tena inactive nikiwa na login msaada nifanyaje maan nimeshajarib ku activate lakin inasumbua inakuwa inactive tu why msaada wana kujua ntafanyaje ikubal nijaribu kuomba hizi ajira zilizotoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom