Msaada kuhusu aircraft maintanance Engineering

Joined
Oct 16, 2015
Posts
13
Reaction score
1
Nani ana uelewa wa hii kozi ya aircraft maintanance Engineering, mbona ada yake kubwa sana pale NIT na hivi HESLB itatoa kiasi gani? Kwani ni mpya na mwaka wa kwanza tu ada ni 10,450,000
 
yani hatari sana isitoshe ni chuo cha serikali pia katika tangazo la hiyo coz walisema wamepunguza gharama sasa kama wamepunguza ndo hiyo je wasingepunguza sijui ingekuwaje mm nimechaguliwa hiyo ndio naisubiri heslb
 
Elimu itakua bure kuanzia wiki inayokuja mchangue lowasa ndiyo suluhisho la haya majanga
 
hahahah hamba cha bure wala nini hata tukimpa enl ada mtalipa maana hamna namna nyingine, milion 10 hyo coz???? itakuwa inaajira njenje hiyo aisee aircraft maintainsnce naona marketable sana
 
wewe utakuwa mwongo tu lazima coz ndio inatarajia kuanza mwaka huu na mm ninechaguliwa hapo ndio tutakuwa wa kwanza hapo
 
ukitaka vitu laini lazima upitie vigumu

kama una pesa hiyo bora ujitoe mhanga uisome tu hiyo kozi kwa sababu ukishamaliza ukawa mjanja ada yako utairudisha within three months

wanalipwa vizuri sana hawa watu
 
Hakuna certificate au diploma. Mwanangu hataki kusoma A level. Na anataka kufanya kitu kama hicho airspace engineering

Cc: C.T.U
 
Last edited by a moderator:
wewe utakuwa mwongo tu lazima coz ndio inatarajia kuanza mwaka huu na mm ninechaguliwa hapo ndio tutakuwa wa kwanza hapo

Airport Ya Dar Es Salaam Kuna Chuo Na Wanafundisha Hii Kozi Kwa Level Ya Certificate,diploma But Sijajua Kama Degree Wanatoa
 
certificate and ordinary diploma ipo na mwaka wa kwanza 4,035,000 mwaka wa pili 4,035,000 mwaka wa tatu 4,085,000 na hizi ninazotoa ni direct payment to the institute tu bado direct payment to the stutent hatari kwa diploma ukizichanganya mwaka wa kwanza 8,256,800 na kwa bachelor unapata 20,390,000 mwaka wa kwanza
 
😱😱😱😱😱😱
 
Kaunga nadhani huyu jamaa kakujibu hapa
 
Last edited by a moderator:
hamna yeyote aliyechaguliwa hii coz tushauriane? au anayejua heslb humu kuwa heslb watatoa kiasi gani
 
certificate and ordinary diploma ipo na mwaka wa kwanza 4,035,000 mwaka wa pili 4,035,000 mwaka wa tatu 4,085,000 na hizi ninazotoa ni direct payment to the institute tu bado direct payment to the stutent hatari kwa diploma ukizichanganya mwaka wa kwanza 8,256,800 na kwa bachelor unapata 20,390,000 mwaka wa kwanza

Ubarikiwe sana. Ngoja amalize form four yake aende hapo
 
Back
Top Bottom