young believer
Member
- Oct 16, 2015
- 13
- 1
Nani ana uelewa wa hii kozi ya aircraft maintanance Engineering, mbona ada yake kubwa sana pale NIT na hivi HESLB itatoa kiasi gani? Kwani ni mpya na mwaka wa kwanza tu ada ni 10,450,000
nani anauelewa wa hii coz ya aircraft maintanance Engineering mbona ada yake kubwa sana pale NIT na hivi heslb itatoa kiasi gani ? kwani ni mpya na mwaka wa kwanza tu ada ni10,450,000
yani hatari sana isitoshe ni chuo cha serikali pia katika tangazo la hiyo coz walisema wamepunguza gharama sasa kama wamepunguza ndo hiyo je wasingepunguza sijui ingekuwaje mm nimechaguliwa hiyo ndio naisubiri heslb
Elimu itakua bure kuanzia wiki inayokuja mchangue lowasa ndiyo suluhisho la haya majanga
wewe unaisomea wapi kama NIT ndio inaanza mwaka huu
wewe njoo usome bhana acha ubishi.... karibu Nitwewe utakuwa mwongo tu lazima coz ndio inatarajia kuanza mwaka huu na mm ninechaguliwa hapo ndio tutakuwa wa kwanza hapo
wewe utakuwa mwongo tu lazima coz ndio inatarajia kuanza mwaka huu na mm ninechaguliwa hapo ndio tutakuwa wa kwanza hapo
certificate and ordinary diploma ipo na mwaka wa kwanza 4,035,000 mwaka wa pili 4,035,000 mwaka wa tatu 4,085,000 na hizi ninazotoa ni direct payment to the institute tu bado direct payment to the stutent hatari kwa diploma ukizichanganya mwaka wa kwanza 8,256,800 na kwa bachelor unapata 20,390,000 mwaka wa kwanza
Kaunga nadhani huyu jamaa kakujibu hapacertificate and ordinary diploma ipo na mwaka wa kwanza 4,035,000 mwaka wa pili 4,035,000 mwaka wa tatu 4,085,000 na hizi ninazotoa ni direct payment to the institute tu bado direct payment to the stutent hatari kwa diploma ukizichanganya mwaka wa kwanza 8,256,800 na kwa bachelor unapata 20,390,000 mwaka wa kwanza