Kama ni internal means mtakua mnadiscuss tu na sio interview. Huo ni mtazamo wangu sababu kuna jamaa yangu alikua teller Nmb bank,zikatokea nafasi za relationship officer zilitangazwa internally nae akaomba,siku ya usahili haikua interview kama hizi tulizozizoa badala yake walikua tu kama wanajadiliana kuhusiana na hiyo position, majukumu yake na mambo ya maslahi.
Asante