Msaada kuhusiana na hizi tecno c5 na c8

Msaada kuhusiana na hizi tecno c5 na c8

Mlimandora

Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
45
Reaction score
19
jaman naombeni msada wenu juu ya matumiz ya button iliopo upande wa kulia chin ya button ya kuwashia kwenye hz cm za tecno c5 na c8
 
jaman naombeni msada wenu juu ya matumiz ya button iliopo upande wa kulia chin ya button ya kuwashia kwenye hz cm za tecno c5 na c8
Hiyo n spesheli kwa ajili ya kupigia picha haswahaswa selfie! Siyo lazima ushike kwenye screen.....we kibonyeze tu na utakuwa umemaliza kazi ya kupiga picha....
 
Back
Top Bottom