M Misterdennis JF-Expert Member Joined Jun 4, 2007 Posts 1,741 Reaction score 481 Jun 17, 2011 #1 WanaJF, heshima kwenu. Naomba msaada namna ya kufungua simu aina ya vodafone 735 ili iweze kutumika na mitandao yote. Kwa sasa inatumika na vodacom pekee. Natanguliza shukurani.
WanaJF, heshima kwenu. Naomba msaada namna ya kufungua simu aina ya vodafone 735 ili iweze kutumika na mitandao yote. Kwa sasa inatumika na vodacom pekee. Natanguliza shukurani.