MSAADA: Kufungua PAYPAL account na kulink na simcard

sheby dunia

Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
78
Reaction score
83
Wakulu najua humu hakuna kinachoshindikana mwenye kufahamu jinsi ya kufungua PAYPAL account na kulink direct na mitandao kama vile Tigopesa, Mpesa na Airtel anijuze.
 
Haiwezekan labda ufungue paypal kenya utaweza ku link na mpesa ya kenya na hizo lain za kenya zinafanya kaz had bongo na unatoa hela vzr tu au unaweza ukajtumia kwa mpesa yako ya tz na ukatoa
 
Back
Top Bottom