Msaada: Kuflashi simu kwa kutumia code

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
nimejaribu kwa *#7370# inadai password sina.. nisaidieni.
 
mkuu nimeingiza imegoma.. Nokia N70

Zma simu yako ukiwa umeizima hvyo hvyo bonyeza button namba 3, nyota (*) na button ya kupokelea simu kisha washa ukiwa umezishilia bila kuziachia na hyo button ya kuwashia. Achia tu pale utakapoona mikono ile inayokutana.
Cm itakuwa ime format.
 
Wadau naombeni mnisaidie na mimi jinsi ya ku flash simu ya mama watoto Nokia 202 ilizima ghafla mpaka sasa haijawaka na leo ni siku ya tatu wakati alipokua anajaribu ku-configure internet
 
Wadau naombeni mnisaidie na mimi jinsi ya ku flash simu ya mama watoto Nokia 202 ilizima ghafla mpaka sasa haijawaka na leo ni siku ya tatu wakati alipokua anajaribu ku-configure internet

Mkuu kama haiwaki kabisa itabidi iflashiwe na computer usually kwa fundi

Kama inawaka hata kidogo tu bonyeza nyota (*) herufi namba tatu (3) na button ya kupigia simu then washa simu
 
nna kanokia c1 ...mbona nimetumia njia ya * +call button+3+on/off button but bilabila
 
Back
Top Bottom