msaada kuflash iphone 5

msaada kuflash iphone 5

Aman Cosmas

Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
29
Reaction score
6
ambae anajua kuflash iphone 5 anisaidie hata akiwa anajua sehem ambapo ntapata msaada anielekeze asante
 
Twende taratibu mkuu usije ukaibiwa, smartphones ni tofauti sana na simu za kawaida, hebu sema shida yako ni nini hasa? simu yako ina tatizo gani?
 
inaomba apple id na apple id za alikua anaitumia czijui

oops! ndiyo maana nilisema utaibiwa mkuu. hiyo simu kwa sasa hakuna anayeweza kuifungua isipokuwa mwenye apple id original, kama anapatikana mtafute, kama hajulikani ni maumivu tu kwa sasa HAKUNA NJIA! Kama vipi uza watu wachukue spare parts, au iweke tu ndani and hope for a miracle, apple wako strict sana na device zao sku hizi.
 
duh kumbe sio rahisi kama nilivyokuwa nikifikiriaaa,SWALI je naweza kutumia ID moja kwa device tofauti?
 
Ukiweza kubadili imea ya hiyo simu na kuweka nyingine basi zoezi limekamilika

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Muone Eric pale
Mikocheni A pembeni ya mayfair plaza...ukifika tu maeneo hayo wee muulize hata mtoto mdogo atakuonyesha...huyo ni Bingwa wa hizo vitu au mcheki kwa namba hii....+255 715 244 696

hapo hakuna ubingwa ndugu yangu, HAKUNA! atachofanya labda amtandike bei kubwa ili yeye aagize logic board ambayo haina lock ndiyo amdanganye ameunlock! Apple ni kampuni tofauti kabisa, tuliwachokonoa wao wameng'ata!
 
Mkuu anafungua 100% hata wewe mwenyewe nenda pale kama unashida
 
ambae anajua kuflash iphone 5 anisaidie hata akiwa anajua sehem ambapo ntapata msaada anielekeze asante

Mkuu kama inataka Apple ID hiyo hata Steve jobs mwenyewe hajui,,,hadi mwenye Simu ndo ataweza vinginevyo iweke kabatini au uumpe mtoto achezee tu! Kuna jamaa alikua nayo iPhone 5s original ilikua locked akawa anaiuza 50,000

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Muone Eric pale
Mikocheni A pembeni ya mayfair plaza...ukifika tu maeneo hayo wee muulize hata mtoto mdogo atakuonyesha...huyo ni Bingwa wa hizo vitu au mcheki kwa namba hii....+255 715 244 696

Mkuu acha kumuongopea mwenzako,,,hiyo kitu milele hakiwezekani!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Wasiliana na hizo namba kwenye attachment/picha
 
Attachments

  • 1404333892450.jpg
    1404333892450.jpg
    66.3 KB · Views: 113
inaomba apple id na apple id za alikua anaitumia czijui

Acha wizi mkuu,mrudishie mwenye nayo la sivyo hutoifaid katu,iphone haiflashiw ng'0 wenye uwezo huo n istore na hawawez kuflash kama hauna taarifa sahh kwenye hyo simu.

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Kama kwako hakiwezekani mkuu kwa wenzako kinawezekana

Huyo mwenye hizo Simu Steve jobs na familia yake huko Marekani hawawezi aje kuiFlash jamaa hapo Msasani sijui Mikocheni. Akiweza kuiFlash nitamnunulia nyingine mbili kama hizo!

Back
Top Bottom