Helow wakuu
Msaada,,nataka kujua namna ya kufanya vitafunwa vikae bila kuharibika kwa muda mrefu,vitafunwa kama maandazi ,,mfano kama yanayouzwa supermarket,,yanawekwa nini ili yasiharibike
Aksnte in advance
Inapatikana wapi sifahamu ila ninadhani TOL watakuwa nayo. Matumizi yake ni kutokana na sifa zake nimapana mno kama preservertive na inatumika duniani kote.
Inapatikana wapi sifahamu ila ninadhani TOL watakuwa nayo. Matumizi yake ni kutokana na sifa zake nimapana mno kama preservertive na inatumika duniani kote.
Acha kumdanganya mwenzio. Mafuta ya kupikia au Bicarbonate soda au baking soda haisaidii kwa namna yoyote ile katika kufanya chakula kisiharibike haraka.
Mkuu hayo maandazi ya supermarket yanakaa hata mwezi na hayaharibiki. Yanatengenezwa viwandani (sio lazima iwe kiwanda kikubwa) kwa kutwanga unga wa ngano sana na kwa muda mrefu.
Ngano inapigwa mpaka inalainika sana.
Kuna ndugu yangu amesomea hii kazi na anaifanya vizuri, unakula andazi lainiii
pamoja na kukandia mafuta ya moto ya aina yoyote lakini pia weka na samli kiasi kama vijiko 5 vya chakula kwa kola kilo moja ya unga wa ngano.SAMLI NI NATURAL PRESERVATIVE OIL KWA CHAKULA CHOCHOTE CHA NGANO IWE ANDAZI CHAPATI AU MKATE