Msaada: Kufanya installation kwenye volcano box

Msaada: Kufanya installation kwenye volcano box

mimi_wewe

Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
70
Reaction score
17
Habari wanajamvi!,kwa mwenye uelewa wa kutumia vizuri na kufanya installation za volcano box naomba msaada tafadhali!
 
Ingia Gsm Forum nafikir utapata maelezo mazuri ambayo yatakusaidia hatua kwa hatua
 
Ingia Gsm Forum nafikir utapata maelezo mazuri ambayo yatakusaidia hatua kwa hatua
Gsm forum nilishaingia lakn sijapata mafanikio nadhan nahitaji msaada wa ana kwa ana!
 
Back
Top Bottom