Msaada; Kudownload video kutoka facebook

Msaada; Kudownload video kutoka facebook

ARV

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
5,527
Reaction score
7,923
Wakuu kuna video nyingi nzuri nawekewa na jamaa zangu kwenye facebook. Nataka nizidownload lakini sioni hiyo option. Naona tu option ya ku-share. Msaada jamani anayejua nafanyaje hapa.
 
download Google Chrome browser uwe unaingia fb kupitia huko, then touch kwenye hiyo bila kuachia itakuambia save video
 
kama unatumia Mozilla-Firefox Kama Web Browser yako,unaweza install add-on inaitwa "Savefrom.net Helper" ambayo itakusaidia ku download video yoyote kwa haraka bila software yoyote.....
 
Download Vidmate af nenda kwenye app ya facebook itafuta video yenyewe kisha jipakulie utakavyo,KARIBU TENA
 
Back
Top Bottom