July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
hio kaz kubwa kaka maana yategemea na huyo seller kama anaship huku kwetu kwanza, then mfanye makubaliano na kama anatumia posta zinakuja risk nyengine tena. hizo za gb500 naziona hadi dola 269 amazon
Thanx sana kaka.. Nitakupa feedback nikifanikiwa