Msaada kudownload App yoyote kutoka play store

chikwakala

Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
28
Reaction score
6
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu nashindwa kuelewa ni nn kimetokea kwenye simu yangu kwan siwezi tena kudownload Application yoyote badala yake naandikiwa download pending mda wote hadi naamua kucancel. Data zipo
 
T

Nafikiri utakuwa umedisable baadhi ya app zisifanye kazi
 
Back
Top Bottom