Msaada: Kuchumbia uhayani

Wewe ndio una matatizo uanyefikiri watu wa mtandaoni ni tofauti na una kutana nao mtandaoni wakati na wewe umo humohumo au unahisi duniani unatoka peke yake kuja kukutana na sisi wa mtandaoni?
Ungemuuliza huyo mchumba wako kama uko serious na sio kuja kuokoteleza humu
 
Nimeoa huko Ili ufanikiwe tafuta mjuzi wa taratibu zao wako poa tuu,ila inategemea unaoa familia ipi ,Kuna mambo mengi utaambiwa
Mfano kitera nyingi
Mkeka
N.k,wako simple tuu
 
Duh 🤔Mimi hyo gharama hata ukoo hawawezi nilipia watanipa mtoto wa mzee massawe wa kule Narumu
 
Duh [emoji848]Mimi hyo gharama hata ukoo hawawezi nilipia watanipa mtoto wa mzee massawe wa kule Narumu
Nimeeleza option mbili ukiwa haujiwezi,lakini pia nimezungumzia kwa inavary kulingana na familia pamoja na status ya mwanamke,hamna linaloshindikana
 
Nimeoa huko Ili ufanikiwe tafuta mjuzi wa taratibu zao wako poa tuu,ila inategemea unaoa familia ipi ,Kuna mambo mengi utaambiwa
Mfano kitera nyingi
Mkeka
N.k,wako simple tuu

Poa shukrani
 
Inabidi uwe govi ili umchape katerero vizuri
 

Hapo umempatia utaratibu sahihi.
 
Lazima uende na magunia matatu ya hawa wadudu vinginevyo emana huipati ng'o!

 
Mahari milioni 6 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama wewe sio muhaya jiandae kukataliwa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…