Nunua Suzuki escudo 4 valves(V4) ndo itakufaa kwakuwa ina economy engine-1800cc,iko durable,imepanda inaweza kupita rough road,unaweza enda nayo hata kiwanja,inabeba 6 passengers(family)
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Unataka gari ya ukweli basi tafuta brevis ya 2500 cc sio 3000 cc,ni very powerfull halafu less consumption! Utastarehe safari zako
Unataka gari ya ukweli basi
tafuta brevis ya 2500 cc sio 3000 cc,ni very powerfull halafu less
consumption! Utastarehe safari zako