Msaada,kubana..... kunasaidia nini??

Kifude

Member
Dec 6, 2012
31
5
Wanajamvi naombeni msaada wenu,nina tatizo la nguvu za kiume..eti ni kweli kukojoa kwa kubana mkojo inaweza kunisaidia?
NISAIDIENI JAMANI
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
24,514
Nguvu za kiume kwa maana ya kushindwa kusimamisha ama kumaliza haraka? Kumaliza haraka inasaidika kwa kukojoa na kubana (kegel's exercise), kusimamisha nadhani unahitaji kuonwa na specialist.
 
Kifude

Member
Dec 6, 2012
31
5
Nguvu za kiume kwa maana ya kushindwa kusimamisha ama kumaliza haraka? Kumaliza haraka inasaidika kwa kukojoa na kubana (kegel's exercise), kusimamisha nadhani unahitaji kuonwa na specialist.

yani nina matatizo yote,misuli yangu ni dhaifu,pia na wahi sana kumaliza ndugu yangu
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
24,514
Basi hiyo ya kubana mkojo na kuachia mara kadhaa kila wakati itakusaidia. Kuna series inaitwa 21st century sex, sijui kama ipo youtube. Inaelekeza massage fulani ambayo hufanywa wakati wa blow job. Unaanzia kwenye shina kama unasokota hivi kuelekea mwisho. Inasaidia kuimarisha misuli. Kila la kheri.
 
ubarikiwe ndugu
 
K.Msese

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
2,084
2,096
Kanunue bukta na viatu, kila siku piga tizi kwa kukimbia japo kidogo kidogo kwa umbali mrefu, ili ikichanganya upige tizi la kikweli.....fanya karibu kila siku....! Ndani ya wiki moja hadi mbili, lazima jamshid liamke lenyewe ukiwa peke yako, na halitaki kulala...!
....zipo dawa kibao za kunyanyua na kufanya uende posta mara nyingi.......ila sikushauri utumie dawa yeyote ile hata mara moja.
 
waubani

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
542
206

hiyo red sikujua kama ni tiba
 
kwa hyo mambo hayo,yatafanya nichelewe kumaliza?
 
K.Msese

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
2,084
2,096
Ukiwa fit ya kutosha, hata ukiwahi kumaliza.......bado unaweza kurudia raundi kadhaa baada ya hapo. Mazoezi ni dawa kubwa sana jaribu utaniambia.

Kuwahi kumaliza, mara nyingi (kwa mimi) huwa napiga mbili kwa moja....nishaiongeleaga hapa. Ni hivi, ukianza kusikia wazungu wanakuja....usi'pump au kuchochea tena.....ziache zitoke zenyewe.....kwa kufanya hivi hutasikia raha hata kidogo.....lkn mshobobo hautalala..., mnafuta mazingira mnaenda lingine.................kwanza uwe fiti usije ukazimia juu ya kifua.
 
Mtoto wa kitaa

Senior Member
Nov 7, 2012
149
16
yani nina matatizo yote,misuli yangu ni dhaifu,pia na wahi sana kumaliza ndugu yangu

pole sana ,labda jaribu kufanyia kazi ushauri wa hapo juu wa njia ya kubana ili usiweze kukojoa haraka na unatakiwa usiwe na papala mzee katika kudo, je baada ya kukojoa dushelele uwa inasimama tena baada ya muda au ndo ilala mazima?
 
Kifude

Member
Dec 6, 2012
31
5
Ukiwa fit ya kutosha, hata ukiwahi kumaliza.......bado unaweza kurudia raundi kadhaa baada ya hapo. Mazoezi ni dawa kubwa sana jaribu utaniambia.

Kuwahi kumaliza, mara nyingi (kwa mimi) huwa napiga mbili kwa moja....nishaiongeleaga hapa. Ni hivi, ukianza kusikia wazungu wanakuja....usi'pump au kuchochea tena.....ziache zitoke zenyewe.....kwa kufanya hivi hutasikia raha hata kidogo.....lkn mshobobo hautalala..., mnafuta mazingira mnaenda lingine.................kwanza uwe fiti usije ukazimia juu ya kifua.

asante kwa ushauri
 
yeah,mpaka muda flan ndo inasimama tena
 
Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,211
970
Daktari inaonekana upo deep sana na mambo haya. Ulishawahi fanya mazoezi haya?

Basi hiyo ya kubana mkojo na kuachia mara kadhaa kila wakati itakusaidia. Kuna series inaitwa 21st century sex, sijui kama ipo youtube. Inaelekeza massage fulani ambayo hufanywa wakati wa blow job. Unaanzia kwenye shina kama unasokota hivi kuelekea mwisho. Inasaidia kuimarisha misuli. Kila la kheri.
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,945
30,539
Ulishawahi kupiga punyeto kwa sana?
Mkuu GOOGLE Umemuuliza swali zuri sana ninakupa hongera unajuwa Vijana wengi wanajiongopea kwa kupiga Punyeto eti wakisema ukipiga Punyeto siku ukikutana na mpezni wako utamtosheleza sana wakati Punyeto ina madhara kwa wanaume sana.

Yap,nimefanya sana
Mkuu Kifude Kama ulikuwa unapiga Punyeto hii ndio iliyokuharibia Nguvu zako za kiume hata kama ukienda hospitali hakuna Dawa za kurudisha Nguvu zako za kiume utajisumbuwa bure kwenda kutafuta Dawa Ma-Hospitalini za kurudisha Nguvu zako za kiume hicho kitu hakuna huko Hospitali.Ukitaka kurudisha Nguvu zako za kiume hebu tembelea Thread yangu nimeweka hap bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
 
okay,kaka
 
Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,913
7,644
Pole mkuu kifude dah kwahiyo lakunoga hujakutana nalo kwamuda gani sasa? Hapo kutana na mkuu mzizi mkavu lakini mazoezi yana tija sani wenda wewe nibonge na una mafuta mengi mwilini mwako kwahiyo tizi ina punguza mafuta na kurahicsha mzunguko wadam kufika kwa wingi kwenye dushelele nihayo2 ila pole mkuu kwakulikosa lakunoga lakini ucjali utapona
 
la kunoga cjalipata siku nyngi,pia nashukuru kwa ushauri wako
 
Sekema

Member
Nov 25, 2012
55
12
Ukiwa fit ya kutosha, hata ukiwahi kumaliza.......bado unaweza kurudia raundi kadhaa baada ya hapo. Mazoezi ni dawa kubwa sana jaribu utaniambia.

Kuwahi kumaliza, mara nyingi (kwa mimi) huwa napiga mbili kwa moja....nishaiongeleaga hapa. Ni hivi, ukianza kusikia wazungu wanakuja....usi'pump au kuchochea tena.....ziache zitoke zenyewe.....kwa kufanya hivi hutasikia raha hata kidogo.....lkn mshobobo hautalala..., mnafuta mazingira mnaenda lingine.................kwanza uwe fiti usije ukazimia juu ya kifua.

Msese kwangu mimi hiyo ndo namba moja kama ni gemu nataka kumuonyesha mygal basi hapo huwa mpaka anaomba pooo mwenyewe yaaani hiyo mwenye shida namana ya kuipraktise anicheki ntamuelewesha kwa vizuri. epukana na dawa zinaweza kukufanya ukawa tegemezi kwa kunywa dawa then na akili itajityuni kuwa bila dawa huwezi na utakuwa mwanzo wa kulemaa maana mwili ukisha zoea dawa unalemaa, mwisho wa siku shemeji ataanza kuomba msaada 'tuta'
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom