Msaada Kubadilisha shule form 5

chamng'asi

Senior Member
Apr 23, 2012
120
250
Salam! Kijana wangu amepangwa form five Tarime, Nahitaji apangwe Moshi au hata Arusha, morogoro, na Dodoma. Nisaidieni wakuu sijui nianzie wapi.....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom