Habari za kazi wakuu wa Jukwaa hili!
Ninaombeni msaada wadau! Nina Blackberry playbook yangu imepasuka screen yake, msaada kwa ajuaye namna au sehemu yoyote hapa Tz ya kupata screen mpya pamoja na fundi wa kunirekebishia hii kitu!
Thanx!!!

Pole sana mkuu, inaudhi kweli hasa kama kitu ulikuwa unakipenda! Mpaka sasa sijapata suluhisho kaka tupalangane zaidi mmoja wetu akifanikiwa amjulishe na mwenzake!!