Msaada kubadilisha dola

Msaada kubadilisha dola

cammo

New Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2
Reaction score
1
Nilipata malipo halali kutoka organizational fulani hapa mjini. Bila kutambua pesa moja noti ya dola 100 ilikuwa imechanika kidogo na wakati wa kubadilisha ilikataliwa kwa madai kwamba imechakaa na ya toleo la 2006.

Je, hii ni kweli? Kwa sababu benki ya NMB,NBC, na maduka ya kubalisha fedha kadha yaliikataa. Je, ni institution gani nyingine itayoweza kukubali noti hii?
 
Unaweza kuiuza kwenye institution zile za tunanunua pesa mbovu na pesa za zamani
 
Back
Top Bottom