Msaada kubadilisha ajira serikalini

Msaada kubadilisha ajira serikalini

Ganaz Sc

Member
Joined
Mar 15, 2015
Posts
24
Reaction score
2
mimi ni mwalimu wa sekondari ajira mpya mwaka huu 2015, lakini kabla ya ajira hii nilikua nmefanya maombi mbalilimbali ya kazi ya kufundisha vyuo vikuu (tutorial assistant) sasa imetokea mungu kanisaidia nimepata kazi chuoni mwezi huu,sasa nilikua nimeandika barua kwa katibu mkuu utumishi ili kuomba kubadilisha ajira lakini cha ajabu afisa elimu wangu ananikatalia kunipitishia barua yangu eti kisa mimi ni mwalimu wa sayansi,nilimepaniki maisha kwakweli(inamaana kisa ni mwalimu wa sayansi ndio nikose uhuru wa kuchagua kazi nayona ina masilai kwangu) ,naombeni msaada kama sina haki au ninayo haki katika hilo.
 
Kwanza hongera kwa kupata kazi chuoni, pili huhitaji kupanic hio ni haki yako ya msingi kabisa sema huyo afisa elimu ni ujuha au wivu unamsumbua. Watanzania wengi hatupendi mafanikio ya wenzetu. Akiendelea kugoma nenda kaongee na mkurugenzi wako kama ni mwelewa atakusaidia maana hio wala haihitaji usumbufu. Ikishindikana kabisa nenda utumishi direct na barua yako kapambane huko watakuelewa tu. Nina rafiki yangu kafanikiwa huko utumishi tena bila usumbufu kabisa nae amepata kazi chuoni, ukishindwa tutawasiliana niku link nae akupe mwongozo zaidi. Kila la heri.
 
asante sana mkuu,kesho naelekea huko utumishi.tatoa mrejesho
 
kwakuwa umeanza kazi juzi hata hujadhibitishwa kazini naona uondoke tu na umwachie barua mezan
 
mimi ni mwalimu wa sekondari ajira mpya mwaka huu 2015, lakini kabla ya ajira hii nilikua nmefanya maombi mbalilimbali ya kazi ya kufundisha vyuo vikuu (tutorial assistant) sasa imetokea mungu kanisaidia nimepata kazi chuoni mwezi huu,sasa nilikua nimeandika barua kwa katibu mkuu utumishi ili kuomba kubadilisha ajira lakini cha ajabu afisa elimu wangu ananikatalia kunipitishia barua yangu eti kisa mimi ni mwalimu wa sayansi,nilimepaniki maisha kwakweli(inamaana kisa ni mwalimu wa sayansi ndio nikose uhuru wa kuchagua kazi nayona ina masilai kwangu) ,naombeni msaada kama sina haki au ninayo haki katika hilo.
Kama muajiri ni mmoja atakubadilishia utumishi wako ikiwa ataona ni vema kwa maslahi ya umma,si yako.
 
Back
Top Bottom