Msaada kuanzisha Maabara ya vipimo

Msaada kuanzisha Maabara ya vipimo

Mnyatiaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2018
Posts
3,765
Reaction score
4,879
Habari!

Ningependa kujua utaratibu wa kufungua health laboratory ikiwemo usajili wa serikali upoje pia na gharama za kuanzisha vikiwemo vifaa muhimu.

Asante!
 
Mambo ya Muhimu

1..Vyumba Viwili kimoja kwa ajili ya Investigation zote na kingine kwa ajili yq diqgnostic ambapo unaweza ukawa na mahojiano namgonjwa kabla Haujamchukua specimen

2..Lazima uwe na Sehemu ya kutupa Taka na kuchoma lazima uwe na choo karibu.

3..Lazima uwe na Leseni zinahisika pindi mtu anapohitaji kufungua biashara usisahau lazima uwe na mtaalamu wa maabara kuanzia ngazi ya diploma mwenye leseni ya kupractise kazi za mqqbara.

4 Vifaaa Kama Microscope, nq vingine Vingi mm sio mtalaamu wa maabara na shindwa kuvijua

5.Usisahau hii ni biashara kama biashara nhingine lazima uwe na lesenj ya biashara ila special kwa kutoa Huduma...na pia watu wa maabara ndo wataconfirm sasa hii ni maabara baada ya kujiridhisha

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
asante kwa muongozo
 
Habari!

Ningependa kujua utaratibu wa kufungua health laboratory ikiwemo usajili wa serikali upoje pia na gharama za kuanzisha vikiwemo vifaa muhimu.

Asante!
Maabara inatakiwa iwe na sehemu tatu au vyumba vitatu 1. Sehemu ya ukusanyia vipimo.( phlebotomy) 2 sehemu ya kupimia (testing areas) na sehemu ya watu kupumzika na kusubiri majibu.(waiting areas)
Inaweza kuwa vyumba 3 sana ndo recomended. Vifaa ni vingi lkn kikubwa ni hadubin ambayo zamani tulikuwa tunaita darubin. Usajili maabaa kundi c ambalo ndo kundi la mwisho kabisa. Mfanya kazi anatakiwa awe mtaalamu aliesoma chuo kinachotambuliwa na serikali walau level ya certificate na awe amesajiliwa na baraza la maabara na ana cheti cha usajili anaweza kusaidia na medical attendants ila huyo mwenye certificate lazima awepo na sio certificate tu hiyo ni level ya kuanzia anaweza akawa wa diploma hadi degree, msimamizi anatakiwa awe mtu mwenye kuanzia level ya diploma anaweza kuwa mtumishi wa serikali au sio lkn awe eneo hilo ulilopo mfano uko wilaya flan nayeye awe anapatikana hiyo wilaya au mji flan na yeye awe mji huo mfano dodoma bahi msimamizi lazima atoke bahi sio wilaya ya kondoa . sifa awe amesoma chuo kinachotambulika na serikali na amesajiliwa na baraza la maabara na anacheti cha usajili. Aweze kufika kituoni walau mara 2 kwa wiki ili kusimamia vitu nakuangalia mambo yanaendana na muongozo mfano serikali mfano unakuta lab inatoa huduma za vipimo lkn wanauza dawa na kuchoma sindano kutundika madrip haviruhusiwi unasimamia mwogozo wa wizara. Hela ya kuomba usajili unalipia 15, 000/= ukikubaliwa na ukapitishwa hela ya kulipia usajili ni 370, 000 na kila mwaka unalipa ada ya usajili wa maabara binafs sina hakika sana ni sh ngapi ila kama laki 3 kuretain usajili wa maabara binafsi
 
Pamoja na hayo vyoo 2 cha me na ke, maabara iwe na mfumo wa maji taka na maji safi, uwe na leseni ya biashara hapa kuna leseni 2 . leseni ya kwanza ni ya biasharakutoka kwa afisa biashara eneo ulilopo ili uweze kulipa mapato, ya pili ni leseni kutoka baraza la maabara kitengo cha private lab. Kituo kiwe incinerator kichomea taka.
 
Maabara inatakiwa iwe na sehemu tatu au vyumba vitatu 1. Sehemu ya ukusanyia vipimo.( phlebotomy) 2 sehemu ya kupimia (testing areas) na sehemu ya watu kupumzika na kusubiri majibu.(waiting areas)
Inaweza kuwa vyumba 3 sana ndo recomended. Vifaa ni vingi lkn kikubwa ni hadubin ambayo zamani tulikuwa tunaita darubin. Usajili maabaa kundi c ambalo ndo kundi la mwisho kabisa. Mfanya kazi anatakiwa awe mtaalamu aliesoma chuo kinachotambuliwa na serikali walau level ya certificate na awe amesajiliwa na baraza la maabara na ana cheti cha usajili anaweza kusaidia na medical attendants ila huyo mwenye certificate lazima awepo na sio certificate tu hiyo ni level ya kuanzia anaweza akawa wa diploma hadi degree, msimamizi anatakiwa awe mtu mwenye kuanzia level ya diploma anaweza kuwa mtumishi wa serikali au sio lkn awe eneo hilo ulilopo mfano uko wilaya flan nayeye awe anapatikana hiyo wilaya au mji flan na yeye awe mji huo mfano dodoma bahi msimamizi lazima atoke bahi sio wilaya ya kondoa . sifa awe amesoma chuo kinachotambulika na serikali na amesajiliwa na baraza la maabara na anacheti cha usajili. Aweze kufika kituoni walau mara 2 kwa wiki ili kusimamia vitu nakuangalia mambo yanaendana na muongozo mfano serikali mfano unakuta lab inatoa huduma za vipimo lkn wanauza dawa na kuchoma sindano kutundika madrip haviruhusiwi unasimamia mwogozo wa wizara. Hela ya kuomba usajili unalipia 15, 000/= ukikubaliwa na ukapitishwa hela ya kulipia usajili ni 370, 000 na kila mwaka unalipa ada ya usajili wa maabara binafs sina hakika sana ni sh ngapi ila kama laki 3 kuretain usajili wa maabara binafsi
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom