kingi mweuc
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 266
- 73
internet ipo mkuu hata humu naingilia simu hiihiiinternet ipo?
angalia setting za internet, setting zenye proxy kama za wap zina tabia ya kuzingua playstore. nenda kwenye mobile network kisha acess point kaangalie setting ulizo nazo ni zipi.internet ipo mkuu hata humu naingilia simu hiihii
ila google acc haikai inakataa kwaio siwez kuingia playstore
sio playstore tu yan google acc inafail kukaa mm nataka niadd gmail account yangu kwenye simu lkn inakataa nifanyeje ili acc ikae?angalia setting za internet, setting zenye proxy kama za wap zina tabia ya kuzingua playstore. nenda kwenye mobile network kisha acess point kaangalie setting ulizo nazo ni zipi.
mkuu unamaanisha nitumie wi-fi ya mtu ndo niweze kujaribu kuadd acc?Tumia wireless au wifi hotsport
Tumia wireless au wifi hotsport
Usijali mkuu. Ukiwa na tatizo jingine usisite kulileta hum jfNashukuru louis imekubali mkuu kwa hotspot
nashukuru pia wanajamvi wote mlochangia kunisaidia kweli humu jf ni kiboko