SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Wanajamvi habari,
Simu ya best yangu model tajwa hapo juu Tecno N3 alimuachia mtu akaiblock patten, sasa amejaribu mara kadhaa imezingua simu inadai email, na hajawahi kuiwekea email.
Amejaribu ku reset kwa ku bana batan ya power na vl+ lkn haioneshi ku resopond.
Msaada tafadhali kama kunanjia nyingine ya ku unlock bila ku flash