Msaada Ku Unlock .Rar compressed files

MsukumaBlack

Member
Dec 20, 2016
31
15
Habar Wakuu.
Ninahitaji msaada wa software ya ku unlock file zilizo kuwa compressed in .rar format na zina paassword. Nimejaribu soaftware nyingi lakini zinahitaji kuwa na full version. Yeyote mwenye utaalam share na sisi
 
Download kitu kina itwa (Win rar )ni buree kabisa
Tatizo Lake sio software ya ku extract hizo file tatizo lake lipo kwenye password. Anachotaka ni software ya kuweza ku crack hizo password ili aweze ku access hizo compressed files
 
mkuu usihangaike sababu hizo software hata ukipata full version na password za siku hizi itachukua miaka mpaka kuweza ku guess hio password. ni file la nini? si utafute tu alternative yake internet?

na kwa experience yangu mara nyingi mafile yanayofungwa hivyo inakuwa ni scam tu.
 
Habar Wakuu.
Ninahitaji msaada wa software ya ku unlock file zilizo kuwa compressed in .rar format na zina paassword. Nimejaribu soaftware nyingi lakini zinahitaji kuwa na full version. Yeyote mwenye utaalam share na sisi

Ni rahisi ku decrypt hizo passoword kwa ku brute force na ni iwapo mtu amefunga hilo file kwa password rahisi yenye maneno ambayo ni common! e.g abc,black etc

waweza kujaribu hii kitu kwa kutengeneza rar file mwenyewe kwa password rahisi then ukatumia hizi software ku crack password

Rejea hii post!
How to Crack WinRAR Password Protected Files In Simple Steps
 
Back
Top Bottom