Msaada ku-unlock modem ya Tigo!!

Msaada ku-unlock modem ya Tigo!!

Kaka kuna uzi hapa unazungumzia kitu hii umewekwa na gkiwango
 
nadhan MOD wa hili jukwaa aweke stick kwa uzi zilizowai tolewa za ku unlock cim na modem maana kila cku watu wananunua cim na modem!!!
 
nadhan MOD wa hili jukwaa aweke stick kwa uzi zilizowai tolewa za ku unlock cim na modem maana kila cku watu wananunua cim na modem!!!

Tatizo watu wamekuwa wavivu kusearch ndo maana daily wanauliza vitu vilivyopostiwa tayari
 
Back
Top Bottom