Msaada ku unlock Huawei Ascend Y200 itumie laini zingine

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
2,827
Reaction score
1,862
Nimenunua simu aina ya Huawei model no. U8655-1 toka Tigo. Haikubali laini nyingine zaidi ya Tigo. Internet ya tigo iko low na hawana 3G ambayo simu ina support. Nawezaje ku kupata unlock code ya Tigo? IMEI ya simu ni 861895014154711. Tafadhali wadau!
 
place order hapa ..::Kariakoo Online Fundi Simu System::.. bei ni 20,000/= baada ya 24hrs. unalipa baada ya simu kuwa unlocked
 
Back
Top Bottom