Chishango JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 875 Reaction score 363 Jan 26, 2015 #1 Wadau nina hii simu niliinunua marekani (eBay) ikaja Ikiwa locked nadhani na kampuni ya AT&T msaada tafadhali ili niweze kuitumia bongo.
Wadau nina hii simu niliinunua marekani (eBay) ikaja Ikiwa locked nadhani na kampuni ya AT&T msaada tafadhali ili niweze kuitumia bongo.
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,796 Reaction score 22,768 Jan 26, 2015 #2 chishango said: Wadau nina hii simu niliinunua marekani (eBay) ikaja Ikiwa locked nadhani na kampuni ya AT&T msaada tafadhali ili niweze kuitumia bongo Click to expand... Habari ndugu Inawezekana, Inatakiwa upate network unlock codes, Je ukiweka laini inakutaka uweke [FONT=merriweather_sansregular]"SIM Network Unlock PIN"[/FONT] Weka IMEI number hapa:>> https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ing-phone-by-imei-number-16.html#post11735998 Unlock codes utapewa ndani ya dakika 5 baada ya malipo yako kupokelewa. Karibu
chishango said: Wadau nina hii simu niliinunua marekani (eBay) ikaja Ikiwa locked nadhani na kampuni ya AT&T msaada tafadhali ili niweze kuitumia bongo Click to expand... Habari ndugu Inawezekana, Inatakiwa upate network unlock codes, Je ukiweka laini inakutaka uweke [FONT=merriweather_sansregular]"SIM Network Unlock PIN"[/FONT] Weka IMEI number hapa:>> https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ing-phone-by-imei-number-16.html#post11735998 Unlock codes utapewa ndani ya dakika 5 baada ya malipo yako kupokelewa. Karibu
Chishango JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 875 Reaction score 363 Jan 26, 2015 Thread starter #3 Mwl.RCT Mwl naomba mawasiliano yako PM Last edited by a moderator: Jan 4, 2016