Msaada ku unlock china Android mobile phone H3030

Msaada ku unlock china Android mobile phone H3030

Joined
Dec 19, 2012
Posts
77
Reaction score
13
Msaada ku unlock china Android mobile phone H3030 android_too_many_pattern_attempts.jpg
 

Attachments

  • 514711185_201.jpg
    514711185_201.jpg
    10 KB · Views: 52
Mbona hujaweka details za hiyo simu mkuu?
Which make? Model? Ya mwaka gani?
 
Hapo lazima ujue kichina na jinsi ya kuingia recovery mode
 
weka Google Mail na password hapo ulipo elekezwa then tatizo kusney.
 
mkuu kama hukutick debunging mode hapo huna jinsi ila ni kuformat tu na kuna simu za kichina haziwezi kuformat (haziingii recovery mode).
jaribu combination hizi wakati wa kuwasha simu
power + volume down
power+ volume up
power + volume down + home button
power +volume up+ home button
power + volume up+volume down

nyengine google jinsi ya kuingia recovery kwa simu yako

ikikataa ujue na wewe ni muhanga wa simu za kichina zisizoingia recovery ipeleke kwa fundi ikaflashiwe
 
Back
Top Bottom