selestin john
Member
- Jan 20, 2012
- 67
- 8
Please wakuu,naombeni msaada mwanzoni nilikuwa natumia internet kwa modem ya vodafone lakini baada ya kushusha window tuu nikii-connect inaleta message "welcome to found new hardware wizard" na inaonyesha kwamba inahitaji driver, lakini nimejaribu karibu cd kama 3 hv za drivers na imegoma kufanya installation,dizain kama nimedata maana mpaka nimeshusha window kama mara 4 lakini bado,msaada tafadhali nimekwama
Nimejaribu kwenye computer kama 3 inaleta message ileile wakuu,sijui nifanyaje?
aina gani ya mordem unatumia ni model number gani?
Ni vodafone K 3570-Z
ngoja nitaichukua baadae maana kwenye simu yangu dizain kama kuna step moja ktk downloading hv inazingua so nitarejesha majibukama unatumia k 3570-Z chukua software yake hapa Latest Software for the Vodafone Mobile Broadband K3570-Z USB Stick download weka ktk flash nenda install kwa pc chomeka mordem