Msaada:ku-delete facebook account bora nibaki JF inatosha.

Msaada:ku-delete facebook account bora nibaki JF inatosha.

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
Salaam wakuu

nahitaji ku-delete facebook a/c ila hii thread ilishawekwa hapa JF na chrisman akatupia na link inayokupeleka kwenye page ya "permanently delete account" kwenye facebook then unaingiza password na captcha words kisha unabofya pahala palipo andikwa "Delete My Account" nikafanya hivyo lakini bado inarudi kwenye page hiyohiyo wakuu na nimefanya hilo zoezi tangu saa 10 jioni then saa hizi nime-login facebook account iko active.................well,nikasema ndani ya JF hapashindikani kitu thas why nimerudi.

Nilijaribu kum PM huyo jamaa aliyeleta uzi tangu mida hiyo mpaka hajajibu chochote nikasema ni-check na ma-xpat wengine mnisaidie sio,u r most wlcm wakuu.

Thanx In Advance.
 
nenda katika setting alaf nenda kta account alaf jaribu ku deactivate account utachagua kama unataka temporary au permenent hapo account yako itakuwa haitambuliki mpaka uje ku login tena
 
Salaam wakuu

nahitaji ku-delete facebook a/c ila hii thread ilishawekwa hapa JF na chrisman akatupia na link inayokupeleka kwenye page ya "permanently delete account" kwenye facebook then unaingiza password na captcha words kisha unabofya pahala palipo andikwa "Delete My Account" nikafanya hivyo lakini bado inarudi kwenye page hiyohiyo wakuu na nimefanya hilo zoezi tangu saa 10 jioni then saa hizi nime-login facebook account iko active.................well,ni kasema ndani ya JF hapashindikani kitu thas why nimerudi.

Nilijaribu kum PM huyo jamaa aliyeleta uzi tangu mida hiyo mpaka hajajibu chochote nikasema ni-check na ma-xpat wengine mnisaidie sio,u r most wlcm wakuu.

Thanx In Advance.
 
Last edited by a moderator:
hiyo link ya kudelete ifungue ukiwa kwa computer. ukifungua kwa simu lazima itajirudia hapo hapo
 
'halaf hili suala nilitaka kuuliza mda mref tu mkuu coz link zote za you tube nikifungua kwenye simu huwa inakataa hata sjajua ni kwa nini wakuu hivyo hata hiyo link hapo juu imekataa natumia galaxy mini yani link zote za you tube zinakataa wakati nikifungua you tube kama you tube huwa inakubali na mpaka movie huwa natazama sasa sjajua inakuwaje wakuu'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom