msaada ku block number ya simu

kijumbamshale

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
267
86
Kuna ndugu ananisumbua sana naomba jinsi ya kublock kupokea simu na sms zake. Natumia Iphone na blackbery mtandao wa Tigo
 
Hakuna njia ya kublock number kwenye iPhone inabidi umwambie provider wako yeye atablock.

Ila unaweza kutumia trick hii isave namba usiyotaka kuipokea kwenye simu yako, kisha iwekee ringtone yake, unaweza kuweka ringtone ambayo ni silent, yaani haitoi sauti yoyote so namba hiyo ikipiga inakuwa haikusumbui. Unaweza kudownload silent ringtone hapa: Download the Silent Ringtone MP3

Kwenye BB kun app zinadai zinaweza kublock zitafute kwenye AppWorld kuendana na simu unayotumia.
http://appworld.blackberry.com/webstore/content/2654/?lang=en


Buy Call blocker ★ Call Filter Pro ★ Block unknown ★ private calls ★ specific calls and do not allow caller to leave voicemail - Download Call blocker ★ Call Filter Pro ★ Block unknown ★ private calls ★
 
Back
Top Bottom