msaada ktk jf in Opera Mini.

msaada ktk jf in Opera Mini.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,625
Reaction score
104,619
habar wakuu.
natumia Opera mini kuingia jf ktk simu yangu. tatizo ni kwamba, kila nikiingia jf inanidai tena password. wakati pale penye kibox(remember me) nawekaga tick.
Opera hii hii naingilia fb but sijawahi ombwa password hadi siku niki logout.
inakuaje hapa wakubwa ?
 
Ilishawahi kunitokea hiyo kwenye Operamini 7 na ilibidi niiInstall upya na tatizo hilo lilikoma
 
ngoja na mimi nijaribu Kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom