Msaada: Kozi ya biotechnology and laboratory sciences ni nzuri?

SamWise_IQ

New Member
Joined
Jul 3, 2023
Posts
4
Reaction score
5
Habari za muda huu wapendwa!

Hii kozi ya Biotechnology and Laboratory sciences ni nzuri? kama ndio je mhitimu anakuwa expert wa field gani? na huwa inatumika wapi sana sana?

Naombeni mnifafanulie kiundani kuhusu hii biotechnology and laboratory sciences pengine na ajira zake hapa Tanzania kwa uzoefu wenu..
 
Achana nayo kama unalenga Fursa.
 
Ina deal na laboratory za viwandani na kwenye research institutions ni coz nzuri
 
1000345646.jpg
 
Back
Top Bottom