Abercrombie13
Member
- Jul 14, 2018
- 65
- 120
Hongera kwa ufaulu wako kijana. Nakushauri MD competition ni kubwa sana vyuo vya serikali hivyo basi kama unataka MD omba vyuo vya private kama kairuki, st.joseph au bugando. Ila omba pia kozi hii ya Medical lab pale bugando au kcmc na Pharmacy kule St. John zikiwa kawa mbadala wako bila hvyo ukisema uombe vyuo vikubwa na kwa MD tu ukiikosa round hii ya mwanzo basi hakuna tena kozi ya afya utakayopata katika round ya pili.Habarin Wakubwa mim ni ndugu yenu mmoja kat ya form six leaver na nmefaulu kwa kiwango cha Div II.10 katika Tahasusi ya PCB kama ifuatavyo phy-D, Chem-C,Bios-C,Bam-D,Gs-E.Nmekuja jukwaani kuomba ushauri ni coz ipi na chuo kipi Naweza kupata but kwa upande wangu ninapenda kuwa Medical Doctor.Nitashukuru kama nitapata mawazo bora kutoka kwenu.
Hivi utajuaje umechaguliwa round ya kwanza?Hongera kwa ufaulu wako kijana. Nakushauri MD competition ni kubwa sana vyuo vya serikali hivyo basi kama unataka MD omba vyuo vya private kama kairuki, st.joseph au bugando. Ila omba pia kozi hii ya Medical lab pale bugando au kcmc na Pharmacy kule St. John zikiwa kawa mbadala wako bila hvyo ukisema uombe vyuo vikubwa na kwa MD tu ukiikosa round hii ya mwanzo basi hakuna tena kozi ya afya utakayopata katika round ya pili.
Kila chuo kinatoa majina ya selected applicant. So ww unaangalia jina lako katika chuo chako ulichoomba.Hivi utajuaje umechaguliwa round ya kwanza?
Kaka si tunaanza kuapply mwezi huu tarehe 20 afu deadline ya kutuma maombi ya kwanza ni tarehe 15 mwz wa 8 kwahyo wanatoa kabla hamjaanza kuapply round ya pili ama?Kila chuo kinatoa majina ya selected applicant. So ww unaangalia jina lako katika chuo chako ulichoomba.
Oky shukuraniYah huwezi kuanza kuomba second round kama hujajua hatma yako first round.
Biotechnology na laboratory science inayotolewa sua inahusu nini?
Well said ila umesahau kotu kimoja mwambie asijaribu hata siku 1 kuchagua KIU kama atakiona kwenye guide bookHongera kwa ufaulu wako kijana. Nakushauri MD competition ni kubwa sana vyuo vya serikali hivyo basi kama unataka MD omba vyuo vya private kama kairuki, st.joseph au bugando. Ila omba pia kozi hii ya Medical lab pale bugando au kcmc na Pharmacy kule St. John zikiwa kawa mbadala wako bila hvyo ukisema uombe vyuo vikubwa na kwa MD tu ukiikosa round hii ya mwanzo basi hakuna tena kozi ya afya utakayopata katika round ya pili.
Samahani nauliza biotechnology na laboratory science inayotolewa sua inahusu nini?Well said ila umesahau kotu kimoja mwambie asijaribu hata siku 1 kuchagua KIU kama atakiona kwenye guide book
Kwa uelewa wangu inahusu maswala yote ya vipimo na utafiti katika magonjwa ya binadamu,wanyama na tiba...Samahani nauliza biotechnology na laboratory science inayotolewa sua inahusu nini?
Hongera kwa ufaulu wako kijana. Nakushauri MD competition ni kubwa sana vyuo vya serikali hivyo basi kama unataka MD omba vyuo vya private kama kairuki, st.joseph au bugando. Ila omba pia kozi hii ya Medical lab pale bugando au kcmc na Pharmacy kule St. John zikiwa kawa mbadala wako bila hvyo ukisema uombe vyuo vikubwa na kwa MD tu ukiikosa round hii ya mwanzo basi hakuna tena kozi ya afya utakayopata katika round ya pili.
Matokeo yake form 4 yako vp??Kuna mdogo wangu ana GPA ya 3.9 ya clinical medicine ushauli wako bro
Funguka anataka kuendelea kusoma au hajui cha kufanya apewe ushauri?Kuna mdogo wangu ana GPA ya 3.9 ya clinical medicine ushauli wako bro
Form 4 alipata dvn two ya 21 na Phy-C, Bios-D ,na chem-C masomo mengine yote amepata -C[/QUOTE]Mwambie aombe MD ila achague vyuo vya kuomba.[QUOTE="remedy50, post: 27601965, member: 221223"
]Matokeo yake form 4 yako vp??
Mwambie aombe MD ila achague vyuo vya kuomba.[/QUOTEForm 4 alipata dvn two ya 21 na Phy-C, Bios-D ,na chem-C masomo mengine yote amepata -C