Abercrombie13
Member
- Jul 14, 2018
- 65
- 119
Habarin Wakubwa mim ni ndugu yenu mmoja kat ya form six leaver na nmefaulu kwa kiwango cha Div II.10 katika Tahasusi ya PCB kama ifuatavyo phy-D, Chem-C,Bios-C,Bam-D,Gs-E.Nmekuja jukwaani kuomba ushauri ni coz ipi na chuo kipi Naweza kupata but kwa upande wangu ninapenda kuwa Medical Doctor.Nitashukuru kama nitapata mawazo bora kutoka kwenu.